Rasmi Yanga imemtema
beki Joseph Zuttah ‘Teteh’ raia wa Ghana.
Beki huyo ametemwa siku
chache baada ya kuwa amesajiliwa Yanga na sasa nafasi yake inachukuliwa na beki
raia wa Togo Vicent Bossou.
Tayari Bossou yuko
nchini na inaonekana lazima atajiunga na Yanga ambayo inataka kuimarisha safu
ya ulinzi.
Wakati Bossou anachukua
nafasi ya Teteh, kiungo Mzimbabwe, Thaban Kamusoko yeye anajiunga na Yanga na
kuchukua nafasi ya Kph Sherman.
Sherman tayari
amejiunga na kikosi cha Mpumalanga Black Aces cha nchini Afrika Kusini.
0 COMMENTS:
Post a Comment