August 28, 2015


Na Saleh Ally, Kartepe
Wachezaji wa Taifa Stars walio kambini hapa Uturuki, jana walimgfanyia bonge la sapraiz kipa Saind Mohammed Nduda.


Nduda hakujua kama ni siku yake ya kuzaliwa, wakati wa chakula cha usiku, wachezaji hao walimshitukiza baada ya keki iliyotolewa na uongozi wa Msafiri Mgoyi kukabidhiwa lakini walianza kumwagia maji na juisi.

Kwake lilikuwa jambo la kushtua na mambo yalienda vizuri huku akionyesha kufurahia sana.

Kipa huyo anayetokea Mtibwa Sugar, aliwalisha keki wenzake pamoja na makocha wote na kufanya furaha izidi kuwa kuu.

AKIMLISHA KEKI MSHAURI WA UFUNDI ABDALLAH KIBADENI



WATURUKI WANASHANGAA TU...


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic