Wakati ndiyo akiwa ameaanza maandalizi ya pambano
lake la 49 dhidi ya Andre Berto, bondia Floyd Mayweather ameanza zile mbwembwe
zake za kutupia mtandaoni picha akiwa na noti za kutosha.
Mayweather amefanya hivyo hivyo jana na kuamsha
mjadala mpya.
Tayari ameanza maandalizi kwa ajili ya pambano
dhidi ya Berto, mwezi ujao.
0 COMMENTS:
Post a Comment