MANARA.....AKHAAA! |
Unaiona picha ya juu, ni Haji Manara, Mkuu wa Kitengo
cha Habari cha Simba, hapa hazungumzi, anafanya yake.
Unaona amakusanya kijiji anataka kuondoka nacho.
Lakini picha ya chini mbele ya msanii Suma G, anaonyesha faint, kama zile za
Ronaldo, hehe.
Manara leo alikuwa kati ya waliowavutia mashabikiwa
Simba wakati wa mechi ya utangulizi, Bongo Movie na Bongo fleva wakiwa
wamechanganyika.
KAMA RONALDO.... |
Yeye amekamata dimba na kuonyesha kweli amezaliwa
kwenye mpira, usisahau baba yake mzazi ni mwanasoka nguli kabisa nchini Sunday
Manara.
Ilikuwa bonge la mechi katika siku hiyo maalum ya
Simba kama Simba Day.
0 COMMENTS:
Post a Comment