ALA! KWAMBA WENGER KAONA CECH NI BOMU, HIVYO ANATAKA FEDHA ZAKE ZIRUDISHWE |
Awali, alikuwa Chelsea ambako mashabiki wake si wenye mambo mengi sana. Lakini baada ya kutua Arsenal, mechi ya kwanza tu ya ligi ambayo Arsenal ilipoteza dhidi ya West Ham, mashabiki wameanza kumshambulia na kumkejeli mitandaoni.
Baadhi ya mashabiki ni wale wa Arsenal ambao wameoneysha chuki wazi wakida kipa huyo mkongwe amewafungisha.
...ETI ALIKUWA ANAPIGA SELFIE |
KWAMBA NI SHUSHU WA CHELSEA ALIYE ARSENAL... |
KWAMBA ALIPEWA MAELEKEZO NA MOURINHO, HALAFU KAMPONGEZA... |
0 COMMENTS:
Post a Comment