WACHEZAJI WA SIMBA WAKIENDELEA NA MAZOEZI KWENYE UWANJA WA BOKO VETERANI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO IKIWA NI SIKU MOJA TU BAADA YA KUPOTEZA MCHEZO WAKE KWA MABAO 2-0 KUTOKA KWA WATANI WAO WA JADI YANGA. KABLA YA KUPOTEZA MECHI HIYO, SIMBA WALISHINDA MECHI ZOTE TATU ZA MWANZO DHIDI YA AFRICAN SPORTS, MGAMBO NA KAGERA SUGAR. ANGALIA PICHA ZAIDI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment