HAYA NDIYO MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA ZANZIBAR KABLA YA KAZI YA KESHO DHIDI YA YANGA HAYA NDIYO MAZOEZI YA MWISHO YA SIMBA KWENYE WA AMAAN MJINI ZANZIBAR. SIMBA INATARAJIA KURUDI JIJINI DAR ES SALAAM LEO KWA AJILI YA MECHI YAO YA LIGI KUU BARA DHIDI YA YANGA KWENYE UWANJA WA TAIFA, KESHO.
0 COMMENTS:
Post a Comment