Mashabiki wa soka nchini
wameanza kukisambaza kipande cha makala iliyondikwa Saleh Ally kuhusiana na
uchambuzi wa mechi ya Simba na Yanga.
Uchambuzi huo
ulichapishwa katika gazeti la Championi Jumamosi katika makala iliyokuwa na
kichwa cha habari, Maswali saba ya kujiuliza.
Saleh Ally alikuwa
akichambua kuhusiana na mechi hiyo ya watani na kusisitiza kuhusiana na mechi
hiyo ya watani.
Moja ya maswali ilikuwa
ni namna gani Simba wamejipanga kumzuia Amissi Tambwe ambaye alimtaja kuwa ni
mshambuliaji hatari zaidi kuliko wote kwa misimu miwili iliyopita.
Kweli Tambwe ndiey
aliyefunga bao la kwanza kabla ya kusababisha la pili wakati Yanga ikiifunga
Simba mabao 2-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment