Mshambuliaji wa Boca Junior, Carlos Tevez amelazimika
hospitali kumtembelea Ezequiel Ham aliyemvunja mguu.
Tevez alimvunja mguu kiungo huyo kinda wakati wakizitumikia
timu zao katika Ligi Kuu Argentina.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Manchester City aliomba radhi
kutokana na kumvunja mguu Ham.
Lakini akamtembelea hospitali kiungo mwenye miaka 21 ambaye
alionyesha kufurahia.










0 COMMENTS:
Post a Comment