RAIS WA TFF, JAMAL MALINZI... |
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kilichofanyika Septemba 06, mwaka huu kilifanya mabadiliko madogo
ya kamati zake ndogo ndogo.
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Blassy Kiondo aliyekua Mwenyekiti
wa Kamati ya Soka la Wanawake ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Soka la
Ufukweni na Sakafuni (Beach Soccer and Futsal).
Amina
Karuma ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu cha Wanawake nchini
(TWFA) na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji aliteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya
Soka la Wanawake.
0 COMMENTS:
Post a Comment