Kiungo nyota
wa Simba, Haruna Moshi Boban amejiunga na Mbeya City.
Boban
ameanza kazi na Mbeya City na atakuwa kati ya wachezaji watakaocheza dhidi ya
Simba, Jumamosi.
Leo Boban amefanya mazoezi siku ya pili mfululizo kwa ajili ya mechi hiyo.
Taarifa za
uhakika zimeeleza Boban alikuwa amejiunga na Mbeya City mwanzoni mwa msimu huu.
Lakini
kulikuwa na mambo kadhaa aliyotakiwa kumalizana na uongozi wa timu kabla ya
kujiunga nayo.
Taarifa
nyingine zimeeleza Boban alisafiri kwenda kufanya majaribio nje ya nchi.
0 COMMENTS:
Post a Comment