October 29, 2015


Kiungo mwenye kasi, Angel di Maria amesema hakutaka kabisa kujiunga na Manchester United.


Di Maria raia wa Argentina alisema alijiunga na Manchester kwa kitita cha pauni milioni 59.7 akitokea Real Madrid ambako anasema alitaka kudaka.


Anasema aliona bora kujiunga na PSG kuliko Manchester Unites, lakini hakuwa na ujanja baada ya United kutoa dau kubwa.

Hata hivyo, alionyesha kushindwa kufanya akiwa na United kabla ya kuuzwa tena PSG.


Ameliambia gazeti maarufu la michezo la Hispania la Marca, kwamba alitaka kubaki Madrid. Lakini kashindikana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic