October 28, 2015

Simba inashuka dimbani leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuivaa Coastal Union katika mechi yake ya Ligi Kuu Bara.

Kocha Mkuu wa Simba, Dylan Kerr ameamua kumpandisha kiungo Mwinyi Kazimoto kusaidia na Hamisi Kiiza kuongoza mshambulizi.

Kiiza ndiyo anarejea uwanjani na kutokana na kukosa washambuliaji, inaonekana imekuwa sababu ya kumsogeza Kazimoto kucheza kama mshambuliaji leo.
KIKOSI CHA LEO:
Angban Vincet
Hassan Kessy
Mohamed Hussen
Hassan Isihaka
Murushid Juuko
Justice Majabvi
Said Ndemla
Jonas Mkude
Hamisi Kiiza
Mwinyi Kazimoto
Peter Mwalyanzi

SUB
Peter Manyika
Emery Nimubona
Ibrahim Ajibu
Pape N'daw
Awadh Juma

Mussa Mgosi

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic