October 20, 2015

FRIENDS RANGERS
Ligi Daraja la Kwanza Tanzania imesogezwa mbele hadi Novemba 14, mwaka huu.


Taarifa kutoka katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zinasema ligi hiyo iliyokuwa imepangwa kuanza Oktoba 31 ili kutoa fursa kwa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kukamilisha maandalizi mengine ikiwemo viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya michezo ya ligi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic