October 18, 2015


Kikosi cha Ruvu Shooting kimeanza kupata moto kikionyesha kimepania kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kuitwanga Lipuli ya Iringa kwa mabao 4-0.

Shooting wameibuka na ushindi huo mnono leo kwenye Uwanja wa Mabatini na kujiweka vizuri kuwania kurejea Ligi Kuu Bara.

Bao la kwanza lilipatikana katika dakika ya 28 kupitia Yahaya Tumbo katika dakika ya 28 kabla ya Issa Kandulu kuongeza la pili kayika dakika ya 56.


Mabao mengine mawili yalifungwa na Tumbo katika dakika ya 66 kabla ya Rafael Kyara kumaliza kazi katika dakika ya 80.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic