Ikiwa Arsenal
itashindwa kuvuka leo kwenda katika hatua ya mtoano itakuwa imeweka rekodi mpya
ya kushindwa kufanya hivyo tangu miaka 15 iliyopita.
Arsenal
imekuwa ikifuzu hivyo mfululizo baada ya kuwa imefeli kuingia hatua ya mtoano
miaka 15 iliyopita.
Leo
itakua nyumbani dhidi ya Dinamo Zagreb na Arsene Qenger anachotaka ni kuona
vijana wake wanashinda.
Hata
hivyo, amesisitiza kama watashindwa kufuzu, basi watacheza kwa juhudi zote
wakiwa Europa League.
0 COMMENTS:
Post a Comment