November 9, 2015


WACHEZAJI WA TAIFA STARS AMBAO WENGI WAO WANAUNGA VIKOSI VIWILI WA KILI STARS NA ZANZIBAR HEREOS....

Kilimanjaro Stars ambayo ni timu ya Tanzania Bara imepangwa kundi A na wenyeji Ethiopia.

Haya ni makundi ya michuano ya Chalenji itakayofanyika nchini Ethiopia kuanzia Jumamosi Novemba 21.
Tayari katika mitandao mbalimbali makundi hayo yamekuwa gumzo baada ya kuvuja mtandaoni.
Watanzania wamekuwa wakijadili kuhusiana na Kili Stars huku wakiamini hata Zanzibar Heroes nayo ina wakati mgumu katika kundi C.
 KUNDI A: 
Ethiopia, Zambia, Tanzania, Somalia
KUNDI B:
Kenya. Uganda, Burundi. Djibouti
KUNDI C:

 Sudan, Rwanda, South Sudan, Zanzibar

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic