KAPOMBE AKIWA AMEPUMZIKA WAKATI WENZAKE WANAENDELEA NA MAZOEZI. ALIYEKAA NAYE NI MRATIBU W ATAIFA STARS, MSAFIRI MGOYI. BEKI HUYO ANAREJEA MAZOEZINI KESHO. |
Beki
Shomari Kapombe amepumizishwa katika mazoezi ya juzi baada ya kugongana na
mwenzake akiwa mazoezini.
Jopo
la madaktari wa Taifa Stara walio hapa Johannesburg, Afrika Kusini waliamua
kumpumzisha Kapombe kwa siku mbili.
Lakini
Kapombe ambaye ni beki wa Azam FC anatarajia kuanza mazoezi na wenzake kesho
baada ya mapumziko ya timu nzima jana.
Stars
imekuwa ikijifua kwa nguvu kujiandaa na mechi dhidi ya Algeria Novemba 14.
0 COMMENTS:
Post a Comment