Kikosi
cha Yanga kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es
Salaam kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara.
Mazoezi
hayo, pamoja na kukimbia kwa spidi pamoja na kunyoosha viungo, lakini Yanga
walicheza mazoezi kama mechi.
Wachezaji
walipambana vilivyo huku kila upande ukionekana kutaka kushinda dhidi ya
wengine. CHEKI PICHA ZAIDI.
0 COMMENTS:
Post a Comment