November 6, 2015


Taifa Stars imeweka kambi kujiaandaa kuivaa Algeria Novemba 14 jijini Dar es Salaam katika harakati zake za kuwania kucheza Kombe la Dunia. Mechi ya marudiano itachezwa Novemba 17 jijini Algers. Angalia mandhari ya kambi yao mjini Johannesburg, Afrika Kusini.



Kambi hiyo ipo katika Hoteli ya Holiday Inn Express jijini hapa na ina mazingira tulivu na bora.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic