Yanga imeendelea kujifua leo chini ya Kocha Msaidizi Juma Mwambusi.
Yanga imefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es
Salaam.
Maandalizi hayo ni kwa ajili ya Ligi Kuu Bara ambayo ilisimama kwa muda
kupisha maandalizi ya Taifa Stars na sasa inaendelea kusimama kwa ajili ya
michuano ya Chalenji inayoendelea nchini Ethiopia.
0 COMMENTS:
Post a Comment