Chini ya Kocha Dylan Kerr, kikosi cha Simba kimepanga kufanya mazoezi yake ya mwisho mjini Mtwara, leo.
Simba itakuwa dimbani Nangwanda Sijaona mjini Mtwara kesho kuwavaa wenyeji Ndanda FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara.
Lakini kikosi hicho jioni hii kitafanya mazoezi kwenye uwanja huo ili kujiweka sawa.
Simba imewasili mjini Mtwara salama salimini na tayari kwa mechi ya kesho.
0 COMMENTS:
Post a Comment