January 29, 2016



Mbwana Samatta sasa rasmi amesaini Genk ya Ubelgiji na kusema kuwa anahisi kuchanganyikiwa kwa furaha.

Samatta amesema pamoja na kwamba alikuwa akitaka kutimiza ndoto yake ya kutua KRC Genk, lakini alilazimika kuwa na subira.

“Sikutaka ugomvi na Mazembe au mmliki wake, Moise Katumbi. Ninamheshimu sana, kanitoa mbali, wamenichukua nikiwa kinda,” alisema Samatta mbele ya waandishi wa habari mjini Brussels, leo.



ANGALIA VIDEO...






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic