January 30, 2016


Pamoja na kwamba Hamisi Kiiza ni mfungaji mzuri lakini Kocha Jackson Mayanja anaonekana hajaridhika.

Mayanja amekuwa akiendelea kutoa mafunzo kwa Kiiza na kumuonyesha namna anavyoweza kuwa bora zaidi.

Kocha huyo raia wa Uganda kama ilivyo kwa Kiiza, alikuwa akimuonyesha namna anavyoweza kugeuka, kupiga mashuti na umakini langoni.


Muda mwingi, Kiiza alikuwa akifuatilia kwa makini na yeye baadaye kurudia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic