January 28, 2016


Mshambuliaji Alexandre Pato yuko jijini London, England kumalizia mazungumzo kabla ya kujiunga na Chelsea.

Raia huyo wa Brazil aliyewahi kung’ara akiwa na AC Milan ametua jijini London na kupokelewa na marisa wa Chelsea.

Pato ambaye sasa anaitumikia Sao Paulo ya kwao Brazil ataungana na kikosi cha Chelsea kama mambo yote yataenda safi usiku huu.

Taarifa zinaeleza kwamba Chelsea iko tayari kumrejesha Mbrazili huyo Ulaya kwa kitita cha pauni milioni 7.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic