PATO ATUA RASMI CHELSEA KWA MKOPO, MAMBO YAKIWA SAFI MWISHO WA MSIMU, ANAANGUKA Chelsea imemsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Corinthians, Alexandre Pato. Kipindi hicho kitakuwa cha mkopo hadi mwishoni mwa msimu, iwapo watakubaliana atasaini mona kwa mona kwa pauni million 7.
0 COMMENTS:
Post a Comment