PICHA ZA ACTION: COASTAL ILIVYOIONJESHA YANGA UTAMU WA KIPIGO Yanga ilikuwa haijui utamu wa kipigo kwa mechi 15 mfululizo. Lakini imekutana na wajanja wa Tanga Coastal Union ambao wameituliza kwa mabao 2-0. Haikuwa mechi laini, Yanga walijitutumua lakini wapi aseee. Cheki picha za action.
0 COMMENTS:
Post a Comment