January 23, 2016



Mwanamuziki nyota duniani, Celine Dion amemuaga mmewe kipenzi Rene Angelil akishirikiana na wadau, ndugu jamaa na rafiki kabla ya mazishi yake.

Celine anayetamba kwa zaidi ya miaka kumi za na miondoko ya pop ya taratibu, ameungana na wadau hao pamoja na watoto wake pia familia na watoto wake jijini Montreal, Canada kumuaga mmewe kabla ya hayo mazishi jana Ijumaa. Hivi ndivyo ilivyokuwa.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic