Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya mechi yake ya Ligi ya Mabingwa dhidi Joachim ya Mauritius.
Chini ya Hans van der Pluijm, Yanga ilifanya mazoezi mepesi huku wachezaji wakionekana wako tayari.
Yanga ilishinda kwa bao 1-0 katika mechi ya kwanza ugenini, kesho inatakiwa kulinda ushindi wake, sare au kushinda tena.
0 COMMENTS:
Post a Comment