MSHAMBULIAJI WA YANGA, DONALD NGOMA AKITHIBITI MPIRA MBELE YA BEKI WA NDANDA FC KATIKA MECHI YA ROBO FAINALI YA KOMBE LA FA. YANGA ILISHINDA KWA MABAO 2-1 KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUTINGA NUSU FAINALI WAFUNGAJI WA MABAO YAKE WAKIWA NI PAUL NONGA NA KELVIN YONDANI.
Daah!hizo picha zinaonyesha ilikuwa ni ubabe,
ReplyDelete