MASHABIKI WA SOKA WANA MANENO YA KILA NAMNA, ANGALIA HUYU.... Mashabiki wa soka wana maneno sijui huwa wanayatoa wapi: Kama huyu wa Yanga wakati ikipambana na Azam FC jana. Hapa anahoji ambaye anahoji baba anapokufa mama anaponaje, sasa sijui ni nani! eeeh! Lakini hiyo ndiyo burudani ya mchezo wa soka.
0 COMMENTS:
Post a Comment