March 15, 2016


Mshambuliaji hatari wa Yanga, Donald Ngoma anajulikana kwa uwezo wa kupachika mabao anapokuwa uwanjani.

Pia anajulikana kwa uwezo wa kusababisha usumbufu mkubwa kwa mabeki wa upinzani.

Lakini anapokuwa nje ya uwanja, mara nyingi anaonekana ni mtu anayependa kukaa karibu na familia yake.


Ngoma anaonekana ni mwenye furaha kila anapokuwa na familia yake. Picha nyingi za Ngoma alizotupia mtandaoni anaoenakana yuko uwanjani au na familia yake.

Picha kwa hisani ya Ngoma

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV