March 23, 2016



Wanamichezo mbalimbali wakiwemo wanasoka wamekuombeleza kuonyesha kutofurahishwa na mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea mjini Brussels nchini Ubelgiji.


Wanamichezo hao wakiwemo wanasoka wanaocheza katika ligi kubwa za soka barani Ulaya kama England, Italia, Ujerumani wameelza masikitiko yao kupitia mitandao ya Twiter, Facebook na Instagram wakisisitiza ulinzi unapaswa kuimarishwa barani Ulaya.

Mji wa Brussels umeshambuliwa ukiwemo uwanja wa kimataifa wa mji huo na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 30.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic