TAYARI KOCHA MKUU WA AZAM FC, STEWART HALL AMESEMA KIKOSI CHAKE KIPO TAYARI KWA AJILI YA MECHI YA LIGI KUU BARA DHIDI YA SIMBA KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, KESHO. MECHI HIYO INAYOSUBIRIWA KWA HAMU KULIKO ZOTE KATIKA MECHI ZA LIGI KUU BARA ITARUSHWA MOJA KWA MOJA NA AZAM TV.
0 COMMENTS:
Post a Comment