ABAJALO |
(DRFA),kimezipongeza timu za Makumbusho FC, Sifa Politan na Zimamoto kwa kufanikiwa kuingia katika ligi za mikoa baada ya kufanya vizuri katika michezo yao.
Klabu ya Zimamoto itakwenda kucheza mkoani Njombe wakati Makumbusho na Sifa Politan wanakwenda kucheza mkoani Morogoro.
Pia klabu ya Abajalo FC nayo imepongezwa kwa mafanikio ya kutinga ligi daraja la kwanza na kuwataka kuzidisha mapambano ili wapige hatua nyingine zaidi ya kufika ligi kuu.
0 COMMENTS:
Post a Comment