ARSENAL AMBAO MSIMU HUU WAMESHIKA NAFASI YA PILI LIGI KUU ENGLAND, WAMETANGAZA JEZI ZAO MPYA WATAKAOZITUMIA KATIKA MSIMU MPYA WA 2016-17. JEZI HIZO CHINI YA PUMA, HAZINA TOFAUTI KUBWA SANA NA ZILE ZA MSIMU ULIOPITA LAKINI KUNA MABADILIKO YALIYOZIBORESHA ZAIDI. |
0 COMMENTS:
Post a Comment