Beki nyota wa Azam FC, Serge Wawa ameishuhudia timu yake ikitandikwa mabao 3-1 na Yanga ambao wamebeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho.
Wawa raia wa Ivory Coast ambaye ni majeruhi, alikuwa jukwaani wakati wenzake wakipambana bila ya mafanikio na kuchapwa bao hizo tatu.
0 COMMENTS:
Post a Comment