May 31, 2016


Kiungo Justuce Majabvi ameondoka kurejea kwao Zimbabwe na kuacha hali ya sintofahamu.

Bado haina uhakika kama kiungo huyo atarejea tena Simba.
Awali aliomba aachwe aende kwa kuwa mkewe amepata kazi nchini Australia.

Lakini kumekuwa na taarifa kwamba anaweza kujiunga na Yanga. Hali hiyo nayo inazua kizumbumkuti.

Uongozi wa Simba, ulishaweka wazi kwamba umamhitaji mchezaji huyo ambaye alipaswa abaki kati ya wachezaji wageni.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV