May 21, 2016


Mwanariadha nyota, Usain Bolt amezidi kuonyesha ni mwanaridha asiye na mpinzani katika mbio za Mita 100.

Amfanikiwa kushinda mitt 100 kwa kutumia sekunde 9.98 katika mbio za  Golden Spike zilizofanyika mini Ostrava nchini Poland, jana Ijumaa.

Bolt ambaye alikuwa kivutio hats kabla ya kuanza kwa mbio hizo, mwanzo hakuanza kwa kasi iliyotakiwa lakini alipofika katikati alibadili gia na kuwapita wapinzani wake kwa kasi.

Kabla alikuwa amjeruhi na anaonekana kuzidi kuimarika kwa kuwa mbio zilizopita katika visiwa vya Cayman alishinda kwa kutumia sekunde 10.5.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV