June 18, 2016

SHIRIKISHO LA SOKA AFRIKA (CAF) LIMESEMA BEKI HASSAN KESSY HAWEZI KUCHEZA KATIKA MECHI DHIDI YA MO BEJAIA HADI KLABU YA SIMBA ITAKAPOTOA BARUA YA RUHUSA KWAMBA ILIMALIZANA NAYE NA IMERIDHIA KUJIUNGA KWAKE NA YANGA.
TAYARI KESSY NA KIKOSI CHA YANGA WAKO BEJAIA NCHINI ALGERIA KWA AJILI YA MECHI HIYO YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA, KESHO.

4 COMMENTS:

 1. Either hujaweka content zako vizuri ama Kessy ana mkataba na Leseni ya CAF ya simba....ama hatujia free player wanasajiliwa vipi

  ReplyDelete
 2. Either hujaweka content zako vizuri ama Kessy ana mkataba na Leseni ya CAF ya simba....ama hatujia free player wanasajiliwa vipi

  ReplyDelete
 3. Nadhani ni dhana kuondoa kesi za baadaye. Wasiwasi wangu ni simba kutoa hiyo barua

  ReplyDelete
 4. Nadhani ni dhana kuondoa kesi za baadaye. Wasiwasi wangu ni simba kutoa hiyo barua

  ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV