June 28, 2016Staili ya kuingia uwanjani kwa mashabiki ni kuinua mikono juu ili usimwibie mwenzako na pia ufanyie upekuzi ili kuepusha kuingia na silaha.


Hii ilikuwa inaendelea pale Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kushuhudia bure mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe.

Mechi hiyo haitakuwa na kiingilio kama uongozi wa Yanga ulivyoamua. Hali hii imefanya mashabiki kuwa wengi mapema kabisa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV