June 28, 2016Jeshi la Polisi Tanzania limetoa vijana 500 kuhudhuria mechi ya ya Yanga dhidi ya TP Mazembe ambayo tayari mashabiki wameingia uwanjani kwa wingi kwelikweli.

Idadi ya watu imekuwa juu kwa kuwa hakuna kiingilio na Jeshi la Polisi Tanzania limesisitiza suala la amani na utulivu.


Mashabiki wametakiwa kuingia kwa amani, washuhudie mechi hiyo na warejee nyumbani kwa amani

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV