June 21, 2016

Pamoja na kusonga mbele hatua ya 16 Bora dhidi ya baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya Slovania, England wanaonekana kutofurahia hata kidogo.

Sare hiyo imewafanya kushika nafasi ya pili nyumba ya Wales katika kundi lao baada ya kufikisha pointi 5. Sasa watacheza hatua ya 16 Bora.


Lakini England kuanzia kocha na wachezaji, lakini hata mashabiki na vyombo vya habari wanaonekana kutofurahia kuwa chini ya Wales. Wanaona kama si haki kwao, lakini bado wanajua wanatakiwa kujipanga kwa hatua ya mtoani.

England (4-3-3): Hart 6.5; Clyne 7.5, Cahill 6, Smalling 5.5, Bertrand 6; Henderson 6.5, Dier 8, Wilshere 5.5 (Rooney, 59, 6); Vardy 6.5, Sturridge 6 (Kane, 76, 6), Lallana 6.5 (Alli 60, 6.5)
Subs not used: Forster, Rose, Walker, Milner, Sterling, Stones, Barkley, Rashford, Heaton. 
Booked: Bertrand

Slovakia (4-3-3): Kozacik 7.5 ; Pekarik 7.5, Skrtel 8, Durica 7.5, Hubocan 6; Kucka 7, Pecovsky 6 (Gyombel 67, 6.5), Hamsik 6; Mak 5, Duda 5.5 (Svento, 58, 6) Weiss 7 (Skriniar, 79, 6)
Subs not used: Mucha, Gregus, Sestak, Stoch, Nemec, Novota, Hrosovsky, Salata, Duris. 
Booked: Pecovsky
Referee: Carlos Velasco Carballo (Spain

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV