June 24, 2016


Kikosi cha Maveterani wa Simba, wameng’olewa katika michuano ya Umoja Cup inayofanyika kwenye Uwanja wa Tandale jijini Dar es Salaam.

Nyangumi FC ndiyo waliosabababisha tafrani yote baada ya kuwatwanga wakongwe hao wa Simba waliokuwa wanangozwa na Emmanuel Gabriel, Dua Said, Bhita John Musiba, Abubakary Kombo na wengine.

Cheki mwenye picha za action...
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV