Baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kusumbuka kukanisha, hatimaye limeachia ratiba nzima ya Ligi Kuu Bara ambayo ni ileile iliyovuja leo asubuhi.
Kama unavyoiona ratiba ndiyo ileile na inaonekana sawa kabisa lie iliyovuja na waliyoitoa jioni hii.
0 COMMENTS:
Post a Comment