July 8, 2016


Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mecky Maxime ametua Kagera Sugar.

Maxime ambaye alikuwa akiinoa Mtibwa Sugar, sasa amesaini mkataba wa kuinoa Mtibwa Sugar.

Meneja wa Kagera Sugar, Mohammed Hussein amesema Maxime ndiye kocha mkuu akichukua nafasi ya Adolf Rishard.
Awali, kulikuwa na taarifa za kuondoka kwa Maxime kwenda Kagera, lakini uongozi wa Mtibwa Sugar ulilikataa hilo.


Kuna tarifa Mtibwa Sugar inatarajia kumrejesha Salum Mayanga ambaye sasa anainoa Prisons.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV