TASWIRA NNE WANYAMA ALIVYOANZA KAZI MPYA YA TOTTENHAM Tayari kiungo Mkenya, Victor Wanyama ameanza mazoezi na kikosi chake kipya cha Tottenham ya England. Mkenya huyo amejiunga na Spurs akitokea Southampton. Cheki picha.
0 COMMENTS:
Post a Comment