ARBELOA KUTOKA MADRID AREJA LONDON, SAFARI HII AJIUNGA NA WEST HAM UNITED Beki wa Real Madrid, Alvaro Arbeloa sasa rasmi amejiunga na West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu England. Ingawa dau lilikuwa halijawekwa wazi, Arbeloa ambaye aliwahi kuishi London wakati akiichezea Chelsea, amejiunga rasmi na West Ham, leo.
0 COMMENTS:
Post a Comment