September 2, 2016Mtanzania Mrisho Ngassa ameamua kuvunja mkataba wa kuendelea kucheza nchini Afrika Kusini,.

Ngassa aliyetokea Yanga alikuwa akiitumikia Free State Star ya Afrika Kusini.

NGASSA ALIPOTUA FREE STATE STAR NA KUKABIDHIWA JEZI NA ALIYEKUWA KOCHA MKUU, KINNAH PHIRI AMBAYE SASA NI KOCHA WA MBEYA CITY.

Hata hivyo, ameamua kuvunja mkataba na kurejea nyumbani ingawa bado haijajulikana anataka kufanya nini hasa.

Katika barua ya kuvunja mkataba, Free State Star imemtakia kila la kheri na yuko huru kujisajili na timu yoyote.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV