October 20, 2016


Barcelona imeionyesha soka Man City ya Pep Guardiola baada ya Lionel Messi kufunga mabao matatu au hat trick na Neymar moja huku Barcelona ikishinda kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Camp Nou, Guardiola alirejea tena nyumbani lakini akakiona cha mtema kuni. Anaonekana haamini, kijana wake wa zamani, Messi akikiangamiza kikosi chake kipya!

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV